Mkuu nina Jbl flip 6 nimeidondosha sasa hivi spika inakasauti fulani sio kazuri kama vile mtu ameweka mkono au kitu kwenye spika..kama ina paraza hivi..mkuu hii kitu inarekebishika??
Nadhani nifuate huu ushauri wako,nitumie 200k kuanza na hivi vidogo hela inayobaki ni bora niweke nguvu sebuleni niwe na sebule kali ya kupumzika nikicheki EPL na kusikiliza muziki.
Umemwaga nondo sana mkuu.Shukrani sana mkuu.
Ila bajeti yangu nilikuwa nimetenga kama 1.5 nikitegemea na hizo electric appliances kama fridge n.k,kumbe hazina umuhimu..kumbe kwa 200k tu naweza anza mambo..una lipi kwenye hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.