Je, Kuna wale ambao labda wamepata alama kati ya 0% to 20% let's say. Nao pia wanawekwa katika Database au wanawekwa katika Database wale tu waliokaribia kufaulu Interview?
Clarify Please.
Je, Kuna wale ambao labda wamepata alama kati ya 0% to 20% let's say. Nao pia wanawekwa katika Database au wanawekwa katika Database wale tu waliokaribia kufaulu Interview?
Clarify Please.
Nani kapokea emails jamani, wamesema watatuma emails kwa waliofanya Oral Interview.
Wamesema watatuma Leo 28 May, 2025.
Mbona kimyaaa au ndio kichinjio?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.