Recent content by Kidadambi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Questionaire ya NHC: Ni sahihi kuuliza asili au rangi ya mpangaji?

    This shows that people are not ready to intergrate with the rest of wananchi,I m afraid.Usiogope ndugu!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Rushwa kwa Watanzania mi sehemu ya maisha.Serikalini na kila pahala.Ni kweli hatuwezi kuwanyooshea kidole Polisi peke yao. To be honest,wengi tunatoa rushwa au kupokea in one way or another.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe awashangaa watanzania... Uwanja wa Ndege Kilimanjaro unakodishwa kwa Dola 1,000 kwa MWAKA!

    Waziri Nundu ana nafasi nzuri kueleza hayo maana alifanya kazi katika lile hangar kubwa pale KIA alipofanya kazi Air Tanzania kabla halijanyang'anywa na kupewa KADCO,kwa bei ya karibu na bure.Siasa bwana!!Mhe Nundu tueleze ule ukweli wa moyoni mwako,kama Mtanzania mzalendo.
Back
Top Bottom