we si unaona sifa kusoma UD haya sasa kasome hilo likoz lako ukimaliza miaka yako 3 ya mateso bila bumu maana kwa hiyo koz hata uwe yatima umefiwa na ukoo wote huwez pata bumu...uki graduate jiandae kwa ujasiriamali maana kwa hiyo koz labda ukaajiriwe na gwajima kama shemasi wa ufufuo na uzima
Baada ya gharama za vifurushi vilivyokuwa mkombozi kwangu..sasa naona sina namna zaidi kuukimbia mtandao huu pendwa maana kuna wakat najitutumua nakujiunga hivyo hivyo lakini jinsi unit zinavyokwisha ukweli inashangaza sana unakuta nanunua pindua pindua ya 2500tsh unit 1500 ila ukiongea dk 3 tu...
hapa ndipo wale wa bora chuo kuliko malengo watakapojitokeza n5akutupa karata zao..ushauri tu kama kuna slots ziko waz kwa koz ya ndoto zako katika vyuo vingine niheri uombe huko ususan kwa wale wanafunz wa arts maana coz nying zilizobak nizile ambazo bado uwanda wake nifinyu hapa nchini...
mkuu zama zetu sio kama sasa mambo yamebadilika sana hususani katka taasis za kifedha za serikali unaweza chukua mfano tokea mwaka 2016 namna utolewaj wa mikopo kwa wanafunz wa elimu ya juu umekua ukifanyika utaona niwaz idad ya wanufaika wapya inashuka kulinganisha na bajeti inayopangwa ambayo...
kwanza niwapongeze baadhi yenu vijana chipukizi ambao tayari mmekwisha kujua mustakabali wa wapi mtaenda kuendeleza elimu yenu ya juu na kwa wale ambao bado mnahangaika na code za tcu na harakat za second selection nawaambia ondoeni shaka nchi hii ni yetu sote nakila kijana atapata nafas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.