Recent content by kichwa joto

  1. K

    Would you go to bed with me Tonight?

    kwa kawaida mimi binafsi siwezi kufanya ngono na mtu ambaye simjui,kwa hilo hata kama angekuwa mrembo mara ngapi haliwez kutokea ng'ooo
  2. K

    Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco Kinondoni

    Nakuomba ee mungu umpokee dada yetu apate pumziko. kwa upande wangu nasema watoto huiga kwa wazazi, watanzania wameiga hii tabia ya kuuana kama panya kutoka kwa viongoz wao, na kwa ushahid tu ni watu wangapi wameuliwa hadharan tena mchana?
  3. K

    Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    naumiza kichwa kufikiri maajabu yaliyotokea kusini yaani mtwara na lindi, na kama ukawa watajipanga kuanzia leo kuhusu uchaguzi mwakani, 90% natoa mapinduzi halis yatatokea hilo halina ubishi
Back
Top Bottom