Recent content by Kichuriko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Division of labour ,Chadema wanapambana usiku na mchana Kisutu,CCM wanahakikisha watu mil 1 Musoma wanapata hospitali ya kisasa

    Sema wewe,watanzania tunajitambua hatuwezi kusemewa na mtu kama wewe.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu, Dar: Mwendelezo wa Rufaa ya dhamana ya Freeman Mbowe na Ester Matiko yaendelea kusikilizwa

    Dora ndio nini mkuu, sio jina la kabint?
  3. K

    JamiiForums Tanzania BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

    Ushoga imekuwa kuchaka cha supporter wa madictator kujificha! Mashoga wako Tz na msitake kuegemea immoral issue moja mka ignore yale madai ya msingi. Hivi hamna aibu juzi mlikuwa nao (world bank) na press ya nguvu. Jana mchina ndiye rafiki wa kweli. Masikini mjinga hana msimamo. Na nyie wapiga...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Christopher Cyrilo: Dikteta hana rafiki, anachotaka ni wafuasi wa kumtii kwa kila anachowaza na kunena

    Huna sifa ya kuwa mfuasi wake, mbowe hahitaji nyumbu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

    Wapiga kura wamekuwa wakikiondoa chama cha mapinduzi madarakani ila kwa dhuluma hila na udhalimu mmekuwa mkidharau kura, kama baada ya dakika hujui kitakachotokea hiyo miaka ishirini umejuaje?. Mungu atupe uhai kwa watakaojaliwa ccm itaondoka madarakani kwa aibu kubwa!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    Wewe mganda, mbona maelezo yako nayo ni unafiki mtupu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Maktaba UDSM: Rais Magufuli amtaka Lowassa akawashauri anaowaongoza, otherwise wataishia magerezani wakajifunze kufuata sheria

    Alimshinda wapi? Kama hatukumwaga damu kuusaka uhuru tulionao na kwa bahati mbaya umetwaliwa mikononi mwa watanzania na mkoloni mweusi, hatutamwaga damu kwa uchu wa mtu ambae tunajua Mungu akipenda baada miaka kumi hatakuwa kwenye uongozi. Hiyo ndio busara ya Lowassa aliyotumia. Haki ni kama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Mngajua kesho yenu msingeandika haya. Hujawahi kuwa ccm kuliko Lowassa au sumaye wanaokula asilimia 80 ya mshahara wa majaliwa. Unakumbuka walivyoutenda upinzani? Leo wako wapi pamoja na ID yako fake unajifanya kushangilia ukatili unaofanywa na usiokuwa na tija yeyote. Kila unachokifanya kina...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya ombi maalum kwa Tundu Lissu

    K Kwani lazima ujibu,maana naona ulichoandika ni kama kuonyesha wanaokutuma upo kazini!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la Tundu Lissu ni nini?

    Wewe ni katili ila ninachofurahi ipo siku utaumwa na utakufa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

    Kweli ni layman.....hapa ndio utaona umuhimu wa Governor kuwa mchumi. pro. Luoga ni mbobezi wa tax law... huku BOT sio sehemu kwake. Anaweza. Kuongea chochote.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waliyemuona ‘mlugaluga’ anawatoa jasho na machozi

    Mzalendo wa nnchi hii anabaki kuwa kambarage! Hamna cha mlugaluga wala nini! Anahangaika Tanzania itabaki kuwa ya watanzania.Maenddeleo ya nchi hii hayatapatikana kwa gharama za damu za watu ikiwa uhuru hatukumwaga damu.Kufurahia kifo cha mwenzio ili hali na wewe utakufa ni jambo la hovyo sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania G. Lema kuzungumza na waandishi wa habari kesho ofisini kwake

    Akili ndogo, zote ni kazi za serikali na kazi yake ni kuisimamia serikali. Tulichagua serikali ya kiraia ni jambo la kufedhehesha kulitumia jeshi vinginevyo.Hakuchaguliwa na jeshi.Kiongozi wetu anatakiwa abadilike miyoyo ya watu ikijaa kutu, majeshi yake hayataweza.Kama anafikiri anatengeneza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Watu wengine hovyo kabisa.....maduka ya kubadilishia hela ni biashara haramu siku hizi?
Back
Top Bottom