UKIPANDA CHUKI, UTAIVUNA, UTAIZALISHA!
MALKIA Mary I, alizaliwa Februari 18, 1516, alikufa Novemba 17, 1558. Huyu alikuwa Malkia wa England na Ireland kuanzia mwaka 1553 mpaka kifo chake.
Ni mtoto wa Mfalme Henry VIII na Catherine wa Aragon. Malkia Mary alibatizwa jina la Mary wa Damu (Bloody...