Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
Wana CCM like Gwajima wakikemea utekaji wanatishiwa maisha, wanafungiwa makanisa na kutishiwa kufutwa uanachama, akina Mpina wakikemea ufisadi wanapigwa chini, so hii picha imekaaje?
Ukombizi wa Tanganyika unakaribia, hii "ndoa' ya DINi na SIASA inaelekeea kuvunjika, ingawa mama sasa anakimbilia kwa machifu wa kimila. Ameona aurejeshe uchifu wa makabila ambao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliukataa ili kuondoa viashiria vyote vya kuvunja umoja wa taifa tokea mwanzo...
2025: Pyramids FC
2024: Al Ahly
2023: Al Ahly
2022: Wydad Casablanca
2021: Al Ahly
2020: Al Ahly
2019: Esperance de Tunis
2018: Esperance de Tunis
2017: Wydad Casablanca
2016: Mamelodi Sundowns
2015: TP Mazembe
2014: ES Setif
2013: Al Ahly
2012: Al Ahly
2011: Esperance de Tunis...
Kwa siasa za sasa hivi jinsi zilivyo za kusifu na kuabudu, zinafanana na hadithi fulani ya Kidenmark inayozungumzia mfalme mmoja aliyependa sana kusifiwa na watu wake, huku akishindwa kujua kuwa sifa zile zilikuwa zikizidi kumfanya mpumbavu bila yeye kujijua. Lakini siku moja mtoto mmoja mdogo...
Ameandika Baba Askofu =AZWrmXhK1_pFvd1TZDgMO7L6eJxTPapJZ1twYFezpONs6-gTBhsboTdtxMKmX-Piojg1EHDc2NrFJssXTd0-1Ff83CtOTZlZOd4TqMHkOU7ugQbudPmJcCSqKiLOrlY8Lxe5uL13Unkr6Vj_aTAlACbU&tn=-]K-R']Kalikawe Lwakalinda Bagonza
KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..
Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar.
Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
Hivi Magori leo ndio anaona kuwa ni hasara kuwakatisha watu tiketi 12,000 Halafu mechi isichezwe? Amesahau Machi 8 kuna watu walikula hasara si ya tiketi tu bali usafiri kutoka mikoani na nje ya nchi na pia gharama za kulala hoteli halafu Simba wakakimbiza timu kwa sababu za kijinga tu na mechi...
Klabu ya Rs Berkane tayari imeshafanya maandalizi ya sehemu ya kufikia ( Hotel ) huko Zanzibar mapema tu siku chache nyuma ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano fainali kombe la shirikisho dhidi ya Simba, jambo la kushangaza ni kwamba Berkane walishajua ni wapi fainali ya...
Kumbuka kwamba hii ni mechi ya fainali kombe uwanjani. CAF wanachosema wanahofia mambo mawili; kwanza ni hali ya hewa isiyotabirika kwa sasa ya jiji la Dar es Salaam, ambapo mvua zinanyesha nyesha bila utaratibu na pili ni kuhusu kuhofia yale yaliyotokea katika mechidhidi ya Al Masry, uwanja...
INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.