Swali langu kwa Dr. Slaa ni hili. Katika maelezo yake amesema hataki Taifa lipate kiongozi mbovu na ambae sio muadilifu. Sasa kwa wagombea wote walio katika mchakato huu ni Lowasa tu ndio mwenye shutuma za Rushwa na Ufisadi? Vp kuhusu yale mengine yanayosemwa ya uuzaji wa nyumba za serikali...

Kigwangala alitawala kipindi chote na yule Muhadhir alikua anacheka na kutabasamu tu. Hakuwa na strong points za kuweka usawa wa yale maropkaji ya Dk. HAMIS
Sio kweli mkuu! yule bwana uwezo wake ulikua ni mdogo sana pamoja na kwamba ni muhadhir wa UDSM,ilifika mahala anamuuliza Dk Kigwangala kuhusiana na jambo ambalo yeye alitakiwa atoe ufafanuzi! Why hawaiti watu wenye uwezo mkubwa kwa upande wa upinzani??
Hawawez kupima upepo cz wanaburuzwa na baadhi yao nzala inawaumiza! so wanaona bora wajitoe fahamu kushabikia ujinga. Wameshasahau masuala yao ya hakimiliki kwa kaz zao za sanaa na ni serikali hii ndo imeshindwa kufanya hvyo kwa 50yrs. Wangese sana.
Ninachokumbuka huyu kijana alikua Bongo movie ! Nadhani kule kunamfaa zaid. Siasa haziwez. Lkn ndo muonekano wa wale vijana wote wa pale mawinguni, njaa mbaya sana
Ni kweli Mkuu! Kuna ndugu yangu ni fundi mitambo pale TBCCM,huwa tunaangalia taarifa za habari za ITV ama AZAM. Hata wao wenyewe wanajua wanaboaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu it makes no difference ila Huyu bwana so called Polepole ANAKERA mnooooooo!! yani anachefua na anasambaza sumu kwa wasiojielewa kama yeye. Nahis wadudu wameanza kutafuna kichwa chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.