Baada ya mchakato mzima wa Chama Cha Mapinduzi kumtafuta mgombea wake wa urais kwa mwaka 2015 kumalizika, huku ukigubwika na sintofahamu nyingi kutokana na rafu za waziwazi kuchezeka kwa moja ya mgombea wake ambaye ni Mhe Edward Lowassa bado ameendelea kuwa kimya na kutosema chochote na kuzidi...
Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Ngoyai Lowassa amelitikisa Bunge baada ya Rais Jakaya Kikwete kumpongeza kwa kazi nzuri alioifanya kwa kipindi cha miaka miwili wakati akiwa Waziri mkuu.
Mara baada ya Lowassa kutajwa ukumbi mzima wa Bunge ulilipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo hali...
*Tuwapime Wagombea Kwa Utashi Wao Kisiasa Katika Mawanda Mapana Ya Kutangaza Kwao Nia, Kuchukua Fomu Na Kutafuta Udhamini
BERNARD KAMILLIUS MEMBE
Membe sio Mwanasiasa mzuri na hana muda mrefu wa utumishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi kadi yake Ya kwanza ya CCM ameipata Mwaka 2003 jambo ambalo...
Kutana na Sitta Samuel anayekengeuka!
Samuel Sitta sasa kakengeuka! Hii ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia.
Awali nilidhani kuwa anachanganyikiwa kutokana na madaraka mapya ambayo yanaambatana na ulaji mkubwa lakini hapana! Sitta si mgeni katika kupata madaraka na haijawahi kuonekana...
BREAKING NEWS
Mtanzania mmoja ambaye alikamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya (jina linahifadhiwa) ahojiwa.
Taarifa zilizopatikana juzi usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo alihojiwa kuwapo...
Katika hali isiyo ya kawaida kikundi kinachojiita 4u Movement Marafiki wa Edward Lowassa kimeingia katika Mvutano Mkubwa haswa katika kugawana Fedha wanazowachangisha Wanachama wao.
Kasumba hilo lililojiri baada ya Moja Kati ya Watendaji wao Mkoa Maarufu sana kubwabwaja kwenye Kambi Fulani na...
SWALI
Nicodemad Tambo (kimeta wa mpui );
1. HAUONI KAMA MGOMBEA MNAYEMNADI NA MARAFIKI ZAKE WANA TASWIRA YA UFISADI..?
JIBU
HUSEIN BASHE: Kwanza nianze na UFISADI, Taswira ya Ufisadi ni taswira ya CCM whether ina ukweli ama haina imeishakuwa Taswira ya chama kizima,kila kiongozi wa chama...
Diamond kudaiwa kodi ya mapato, Lowassa ahusishwa.
Hali ya taharuki iliyozuka hivi karibuni baada ya meneja wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kuandikiwa barua na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ikimtaka kuwasilisha kopi ya mkataba ya kazi ya Nasseeb Abdul pamoja na maelezo yanayoonyesha...
Hali ya taharuki iliyozuka hivi karibuni baada ya meneja wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kuandikiwa barua na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ikimtaka kuwasilisha kopi ya mkataba ya kazi ya Nasseeb Abdul pamoja na maelezo yanayoonyesha malipo ya diamond platnumz katika kazi yake ya muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.