Recent content by Kichaaa

  1. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyedai waongezewe mshahara atakiwa aachie jimbo, CCM nao watoa kauli

    Mbunge bora kuwahi kutokea mbogwe ni huyo Maganga
  2. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    Hahaha
  3. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania UVCCM mjirekebishe vinginevyo mtazidi kusugua benchi

    UVCCM mara BAVICHA
  4. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Nicodemus Henry Maganga Mbunge bora kuwahi kutokea Mbogwe

    Kafanya ziara
  5. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Nicodemus Henry Maganga Mbunge bora kuwahi kutokea Mbogwe

    Habari wakuu! Katika historia ya Mbogwe hajawahi kutokea mbunge bora kama ndugu Nicodemus Henry Maganga ni mbunge ambaye kafanya mengi ambayo hayajawahi kufanywa na mbunge yeyote katika historia ya Mbogwe. Kafanya mengi ikiwemo. Kwanza: Kuweza kuleta Mawaziri na Manaibu Waziri wengi, katika...
  6. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Doctor ikitokea mtu hapati hamu ya kufanya mapenzi wakati yuko single mda mrefu tu je nahitaji tiba???
  7. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Dogo asamehewe
  8. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Vp kuhusu suala la ushawishi au uongozi
  9. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Siti Binti Saad

    Wakuu! Kwa anaeijua vizuri historia ya siti binti saadi aishushe humu jamvini. Nimesikia jina lake kwenye nyimbo moja ya bongo flava WHO AM I ? Nyimbo ya msanii RAPCHA ni muhimu sana tujue historia za watu wetu
  10. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati adhimu wa upinzani kuchukua nchi, CCM imechoka na imechokwa

    Ewe wasema CCM itatolewa kwa longlife plans na sio mineno yako miepesi hio... Be serious kidogo
  11. Kichaaa

    JamiiForums Tanzania Suala la muungano katika rasimu ya katiba mpya

    Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite..... Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa...
Back
Top Bottom