Recent content by KIBUYUSAFI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Binafsi bado naona hiyo VRF, ADMINISTRATION FEES BADO ZIPO
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuyaepuka kwenye gear box ya Automatic

    HAPO SHIDA NI GEAR BOX YAKO NI CHAIN NA IMEKUFA KWA KUWEKA OIL AMBAYO SIO SAHIHI NDIO HUO MSTUKO UNATOKEA, MM IMENIKUTA HIYO NA NIMEFUNGUA NIMEKUTA GEAR BOX CHAIN IMEKATA KABISA, SHIDA NI OIL HAPO HUTUMII RECOMMENDED OIL
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuclear gari ya namna hii wadau

    Ushuru bila malipo ya TPA na Agent fee ambayo haitazidi laki 7 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuclear gari ya namna hii wadau

    Tsh milion 7 laki 3 na 65 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Toyota Hilux 4WD ya 2012 iliyonunuliwa kwa 50 million Tsh ni shilingi ngapi?

    Hivi tax excemption bado ipo kwa watumishi au?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji waya za ABS

    ABS WAYA NENDA NA FUNDI ILALA AU KARUME ZIPO NYINGI MNO FUNDI AZIPIME TU
  7. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa redio ya gari (Android) yenye tatizo la screen

    Nenda magomeni Usalama ukivuka stand ya Rahaleo pale karibu na Mwembechai kuna mafundi wengi wa redio za magari
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada indicator ya gari ABS imewaka

    Muhimu nenda kwa fundi umeme wa magari wataipima na kugundua mara nyingi ni senser hizo zimekufa au zimekatika au bearing imechoka lakn usibadili tu bila kupima kwa ufasaha ukipima ni simple zaidi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Ni oil gani inafaa kwa diff RAV 4 KILLTIME
  10. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nina RAV 4 KILL TIME kila nikiwasha na kurudi nyuma inatoa mlio wa Ka ka ka, na ikichanganya haitoi tena na mara nyengine hata nikiachia break kwenda mbele kuna mlio wa TI TI TI, nini tatizo nimeshapima sensor zipo sawa kwa mashine, msaada mkuu tafadhali hata kama nikuletee usikie ninachosema...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Honda CR-V & Mazda Tribute

    Add me too via 0717055537
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matairi bora

    Yes hadi hii June,nimenunua Pirelli kuna muitaliano aliniambia ikisumbua njoo nakurudishia pesa yako yote yupo pale Karibu na SUPER DOLL PUGU ROAD
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matairi bora

    Nimenunua Pirelli tangu June last year hadi leo haijapata pancha wala kujaza upepo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matairi bora

    Pirelli the best too
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali RAV 4 kill time taa ya ABS

    Ndugu wana jamvi gari yangu inawasha taa ya ABS sio mara zote ila ukiwa safari ndefu ndio taa inawaka nikisimama nazima gari halafu nawasha na taa haiwaki tena hadi muda mwengine tena ukitembea muda inawaka
Back
Top Bottom