Wananchi wa songea ipi mkuu ambao walilia kisa nchimbi kuacha kugombea? mimi ni moja ya wanaoishi songea, wananchi wengi wamefurahi sana nchimbi kuacha kugombea hapa town maana kwa miaka kumi aliyokaa hamna alichokifanya. Kaleta ambulance mbovu haina hata spid then unamsifia! umeme mpaka leo...
Hamna cha kujitetea hapo mkuu, kumbuka hata mh. Lowasa aliwajibishwa kwenye issue ya richmond bila hata kuhojiwa kwenye kamati ikiongozwa na mwakyembe.
kila siku nilikuwa nasikia tu CHADEMA ni mpango wa mungu hata lema kwenye mikutano yake hupenda sana kutoa hii kauli ya kuwa CHADEMA tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu, sasa naanza kuamini kweli hiki chama ni mpango wa mungu.
NB:
ACT-Tanzania kama kweli mna nia ya kutaka kukubalika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.