Haitafanya kazi maana dekoda ya antenna inatumia mfumo tofauti na dekoda ya dish.
Inabidi ununue dekoda ya dish ufunge na dish lake kuendelea kupata huduma.
Ni kweli haiongezi speed ys ISP lakini mfano kifurushi cha laki moja unapata 150mbps sasa kama una band moja ya 2.4Ghz utaishia kupata 80mbps haiwezi kuvuka hapo ndo umuhimu wa 5ghz unapokuwepo.
Hii ni kwa sababu watumiaji wengi hawawezi kufanya configuration za router wakiweka wazi unaweza kuta mtu anabadili settings na huduma inasitishwa halafu inakuwa ni gharama kuweza kumtafuta fundi airekebishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.