Recent content by kibugumo

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani

    Kipato mwenzie majivuno
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Kwa nini asingefanya maridhiano kabla ya uchaguzi Mkuu? Ni dhahiri amegundua kuwa bila maridhiano atakuwa na kipindi kigumu sana cha kutawala na kuongoza nchi
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    Tutarajie mambo mapya kutoka kwa watu walewale wa chama kilekile? Sijawahi kuiamini ccm na sitakaa niamini wahuni wanaoogopa sanduku la kura katika kutupatia viongozi tunaowataka
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

    Kuna mambo yanatokea unashindwa kusikitika au kucheka, Huu Mchezo hauhitaji hasira,
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina afika INEC kurejesha fomu ya Urais ila ameishia Getini

    Wanakosea kuita Tume Huru Ya Uchaguzi, Tanzania zaidi ya uijuavyo................................
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole asipuuzwe;vyovyote iwavyo

    Mambo ya Mnara wa Babeli
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Liwalo na Liwe (Kayanza Mizengo Peter Pinda)
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Hii Nchi inahitaji ukombozi mwingine tukiacha ule tuliopata kutoka klwa Mzungu, Wananchi tunaona dhuluma na uonevu lakini tunaishia kulalamika tu bila kuchukua hatua yoyote, Vyama vya upinzani vinafurahia kuiona chadema kwenye mkwamo wa kisiasa na wao wanaichukua kama fursa ya kukwea...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wanachangishana wafanye kampeni wakishindana na Salum Mwalim Aibu yao Maccm
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Ndugai hakuwa masikini Kuna yatima wengi sana wa kusaidia wapate Elimu,chakula na makazi Tuanze na hao kwanza, Nahisi hata pensheni ya Usspika alikuwa hajaigusa
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

    Anaenda kushindana na Salumu Mwalimu Aibu Yao au Aibu Yetu
Back
Top Bottom