Recent content by kibuga nolassco

  1. K

    Tatizo lolote la PC/device

    Tv na dek radio vyote vinafanya kazi tu
  2. K

    Tatizo lolote la PC/device

    Nashukuru ndg kwa ushauri,lkn nimejaribu kuwasha naona tatizo bado ni lilelile
  3. K

    Tatizo lolote la PC/device

    Nilikuwa natumia computer yangu vzr gafla uumeme ukakatika uliporudi nilipoiwasha inawaka kama sekunde 5 hivi alafu inazima na kuwaka tena lakini haionyeshi chochote ,ni HP desktop zile za kitambo kidogo
  4. K

    Msaada shamba la kukodi

    Niambie ndg kuna maeneo yapo
  5. K

    Msaada shamba la kukodi

    Naomba kujua kwa wanaofahamu maeneo yanayofaa kwa kilimo cha bamia yya kukodi naomba kujua na bei mm nipo dar
Back
Top Bottom