Recent content by kibudibudi

  1. K

    JamiiForums Kumbe jk ni chadema

    Wakimpigia tu kura ya kutokuwa na imani nae anahamia CHADEMA. sasa hivi mwana Ccm yeyote anafanya chochote na wakimtisha kmfukuza aseme atahamia CHADEMA, baaasi wanafyata mkia.Mkuu wao kakubali hoja zote za CHADEMA, mpaka wabunge wake wamekiri kwamba wakurugenzi wote wa halmashauri ni CHADEMA...
  2. K

    JamiiForums Iko wapi mikopo ya wafanyakazi serikalini iliyoahidiwa?

    Mwishoni mwa mwaka jana (2011) serikali ilipitisha "sekula" maofisini kuwataka wafanyakazi wa serikali wakope pesa kwa riba nafuu. wengi walijaza fomu za kuomba mikopo hiyo lakini mpaka sasa kimya, naitaka serikali itamke kama itawapa wafanyakazi mikopo hiyo na ni lini.kama wanasubiri uchaguzi...
Back
Top Bottom