Recent content by Kibubutu

  1. Kibubutu

    Mke wangu hapati mimba...

    Nendeni Hosp! Mkacheki afya ya uzazi. Kutumia uzaz wa mpango ni nidham ya woga kwa wanandoa wachanga, kama ni mkeo ndiye alikushaur upige hyo sindano ya mpango. Bado nawaza inawezekana bado hajaamua kuzaa kwa wakat huu. Uwe mdadisi wakat mwingine usichukulie mambo juu juu.
  2. Kibubutu

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    1.Kula vizur 2.kula vyakula vyenye virutubisho husika. 3. Fanya mazoezi 4.Fanya mazoez 5.control hisia zako mchezoni. 6. Acha kujichua.
  3. Kibubutu

  4. Kibubutu

    Ushauri wa busara

    Watu wa aina yako hata wakishauliwa hawabadiriki, unafanya maamuzi kwa kutumia moyo na sio akil umeshapenda ww ! Mpenda boga ........ Oa tu mshenga si yupo.
  5. Kibubutu

    Tuweke sababu hapa ambazo mpenzi wako alikupendea

    Eti! "Upole wako jaman! Na kutonicha mpaka nikufuate kileleni ndo vinavyonifanya nikupende dadii" Bichwa hilo!
Back
Top Bottom