jamani mimi huwa nasikia haya maneno 'serikali ya ccm ni makini na sikivu' hivi huu umakini na usikivu ni katika mambo gani mbona mimi sijawahi yashuhudia. labda niwaulize ninyi wenzangu
Kiukweli hiki kimya kinaboa sana maana kila ukisikia ni soon zitatoka. Hiyo soon ni lini? Maana soon inamfanya mtu asijipange kwa tushughuli twingine.
Kwani hiyo soon maana yake nini?Ni bora serikali ingetoa ajira mtu ajue amepangiwa wapi hata kama kuripoti ni mwakani kuliko mtu unakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.