Tatizo ni kwamba sehemu kubwa ya watanzania ukipekua ubongo wao utakuta asilimia 89 ya mawazo yao yanawaza na kufikiria ngono ndio maana skendo za ngono zipo kila mahala
Tatizo la magamba wanasumbuliwa na akili mgando walizonazo. Yeye kama mbunge wa jimbo la Arusha anawajibu wa kukagua barabara kwani anawakilisha wanachi wa jimbo lake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.