Recent content by KIBITI ZE ARBITRATOR

  1. KIBITI ZE ARBITRATOR

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    mimi napata shida sana kufaham kwanini hawa watu (CCM) wanamuogopa huyu jamaa (Lowassa) kiasi cha kujipanga kujibu mapigo kwa nguvu zote wakati mmoja? nachelea kusema "mti upigwao mawe ndio wenye matunda", maana haiwezekani wawe "upset" nae kiasi hicho as if he is the only one doing those sort...
  2. KIBITI ZE ARBITRATOR

    Sales exectutives required

    A reputable financial institution is seeking to recruit sales executives with experience in Insurance business. the applicant must be experinced in either General Insurance or medical and life assurance business. 3 - 5 years experience is a must. The applicant must be a resident in Dar Es...
  3. KIBITI ZE ARBITRATOR

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari kubwa iliyotikisa dunia kwa mwaka huu ni kifo cha rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya kusini Nelson Mandela. ingawa kimetokea mwishoni mwa mwaka, lakini msiba wake umechukua sura mpya na kufunika habari zingine kubwa zilizotawala kwenye vyombo vya habari mwazoni mwaka huu. 1. msiba wa...
Back
Top Bottom