KWA MTU MWENYE UZZZALENDO NA NCHI HAWEZI KUIITA tbc KUWA NI TV YA TAIFA ILA MTU MWENYE UZALENDO NA CCM ANAWEZA KUIITA TV YA TAIFA KWA KUWA INAKIDHI MATAKWA YA CHAMA CHAKE
posho posho hiyo tume iliyoundwa inatumia pesa za walipa kodi ya nin tume. kila ck tume zinaundwa lakini haziji na majibu ya kutosha. hatuhitaji tume bali tunahitaji katiba yenye kuwafaa watanzania wote. hizi zote ni ni mbinu za kupitisha serkal 2
siasa ya tanzania sasa inakua japo wengi hawajatambua dhana halisi ya siasa. wanadhan kutumia lugha chafu ndio matusi. lakin ukwel ni kwamba umefka muda muafaka wa kuchunguza hali ya siasa na changamaoto zinazoikabili
hakuna kitu kisichowezekana mipango thabiti na maarifa vyaweza kuwezesha. mbona imewezekana kuishi miaka 53 ya uhuru ndani ya ccm huku bajeti ya nchi inazidiwa na madeni tunayodaiwa. unamtaji wa sh 16 nao ni wa kuomba lakini unadaiwa sh.23
nikweli jitihada zaweza kuwezekana lakini watanzania wengi bado hatujaelewa dhana halisi ya siasa. wengi wanadhani siasa ni malumbano. endelea kuelimisha taifa wengi tunakuunga mkono hasa mimi mwenye uchungu na nchi yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.