Recent content by kibibi005

  1. K

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    hahahahahahaha wabongo kweli noma, kila jambo tunalivalia njuga kuliongelea hadi basi wakati halina ukweli wowote.Kweli wabongo kwa Uzushi tumepitiliza.Ifike pahala tuache uzushi lol.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    migogoro yenu ya kimaslahi isiwafanye kumdhalilisha mama wa watu, nani anaweza kuwa na uwezo wakuipata hiyo video kama si watu ambao wako karibu na mama wa watu, hili si la kufumbiwa macho, tunaomba hatua za kisheria zilchukuliwe Tafadhali. kama kipaumbele wamepewa wengine fahamu wanauwezo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Wakati wewe unaambiwa ukapambane ulinde kura,uhatarishe amani ya nchi yetu, mwenzio anaekwambia hivyo anapiga hela bila wasi wasi wowote, ananufaisha familia yake na tumbo lake bila kuwajali watanzania.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo

    siku kama ya leo hii ndio itakua ratiba yangu ya kwenda kumstaafisha mtu siasa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    naomba nimwambie mboyiii,ikulu sio pango la walanguzi,ikulu ni mahala patakatifu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mzee Mwinyi, Dr. Shein na Dr. Magufuli Mnazi Mmoja Zanzibar

    nahitaji mabadiliko, mabadiliko ni maendeleo, maendeleo yataletwa na kiongozi mwadilifu na mchapakazi, kura yangu kwa Dr John Joseph Pombe Magufuli
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    wacha kuota ndoto za mchana ukiwa umefumbua macho.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tumbo ni deni la maisha sio lazima kulipa kila siku.

    tunajichimbia kaburi letu wenyewe, mungu atuepushea na janga hili.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    mungu akupe afya njema rais wetu dr john pombe magufuli uwafikie wananchi wengi zaidi na zaidi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Na haya ndio majukumu ya jopo hilo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Dr Magufuli juu kwa juu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    kweli Dr John Pombe Magufuli ndio rais wa awamu ya tano hakuna wakupinga
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli atakuwa Rais wa Tz na hakuna mwanadam mwenye nyama kama mimi nawewe atamzuwia

    Hakuna wakupinga hilo. Dr John Pombe Magufuli ndio rais 2015-2020
  14. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutangaza matokeo ya urais bila tume ya uchaguzi ni uchochezi

    Naona wanazidi kujitekenya alafu wanacheka wenyewe, kwani upawa wamekua ni tume ya uchaguzi. hivi kweli vioja.
Back
Top Bottom