Shukrani kwako uliyekubali kuingia ili usome ninachotaka ukisome. Tafadhali soma hadi mwisho.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2010. Nilijitahidi sana kusoma. Darasani tangu nikiwa kidato cha kwanza hadi cha nne sikuwahi kutoka nje ya kumi bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.