Recent content by kibasa

  1. K

    chelsea fc

    Wapendwa chelsea kupitia mwamba wa afrika ba" anazdi kumuumiza kichwa torres cjui afanyaje?
  2. K

    Breaking News: Okwi auzwa kwa Etoile Du Sahel ya Tunisia

    Hatuna tenah! Mwenyekiti bali ni zimwi la siasa limeivamia simba sport! Sasa kama amemuuza okwi je huko tunisia alienda na shahidi gan? Au wanasheria gan? Ambao waliwezwa kushirikishwa? Kwasababu biashara ile ni ya hela nyingi!! So i do know what happened next period? Inatisha kwa kweli...
  3. K

    jamani! local chanel ipi itaonyesha Afcon 2013?

    Ebwanah! Hakuna ila ni kwa njia ya kisimbuzi au kinga'muzi cha dstv! Bila hivo haina jinsi!! Kamanda!!
  4. K

    Kumwembe ni mnafiki?

    Hakuna kumtetea yeye ana tamaa na vilabu vikubwa vya bongo. Kama simba,yanga na azamu. Huo ndio ukweli wakubwa na sio leo ni toka kitambo?? Xana!
  5. K

    Kumwembe ni mnafiki?

    Hakuna kumtetea yeye ana tamaa na vilabu vikubwa vya bongo. Kama simba,yanga na azamu. Huo ndio ukweli wakubwa na sio leo ni toka kitambo?? Xana!
  6. K

    Michezo: Kwa nini nchi za Ki-Afrika zina thamini walimu wa kigeni kuliko wazawa?

    Ebwana chamsingi ni kuwa na msimamo na kuthamini mchango wa makocha wa tanzania na wa kiafrika kiujumla.
  7. K

    Ufisadi wa kisiasa

    Wazalendo kama sis huwa tunasema ili kuokoa roho lazima roho zitumike cjui kma mnanielewa?
  8. K

    Ufisadi wa kisiasa

    Kiufupi ni kwamba habar za siri zilofichika ni kwamba ccm imejiaandaa kutengua baadhi ya vipengele kwenye katiba mpya. Ili ccm ipate mwanya wa madaraka kwenye mfumo wa kuendelea kumchagua kamishna wa uchaguzi nchini!! Kwa kipengele hcho wadau tuwe makini kupambana na kutetea kipengele hicho ili...
  9. K

    Darsa lahitajika.

    poa sasa wewe inatakiwa uwe mchungaji? 2. Au we unacemaje?
  10. K

    Darsa lahitajika.

    poa sasa wewe inatakiwa uwe mchungaji? 2. Au we unacemaje?
Back
Top Bottom