Recent content by Kibark

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Miezi sita mbona michache ndoa ni gharama, Ndio mana Kila siku tukioabtunakumbushwa kutafuta watu sahihi asichoke Bali azidi kuomba lakini pia anawezashirikisha msimamizi wake wa ndoa the wakakaa nae akawapa sababu hawezi nyimwa bila sababu mm nadhani Kuna chanzo hapo kingine miezi sita Kuna...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Hii kweli nimewahi isikia hii
  3. K

    JamiiForums Tanzania Narudi kijijini kulima, maisha ya kwenye jiji la Dar nimeshindwa, nimekubalii🙌🏽

    Kikubwa umeshatambua kwamba unapoteza Muda Anza upya kwani kwenye Nia njia hufunguka kikubwa usikate tamaa njia bado ipo ya kifikia malengo mm ni Mmoja ya waliorudi kijijin sasa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Mm naona ni maziwa salama kwani pia vijana wengi wamepata kuinuka kiuchumi kutokana na biashara hii Cha kuzingatia mnunuzi kuwa makini wakati unataka bidhaa hii
Back
Top Bottom