Recent content by Kibaoni singida

  1. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=

    Zilipendwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wizi mpya maeneo ya shopping malls

    Hahahahahah Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Mkuu hata mm kidogo niingie chaka lao ila nikawashtukia mapema nikasepa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa ni fursa kwa polisi na watu wa stationary.

    Umeaongea ukwel mtupu mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa ni fursa kwa polisi na watu wa stationary.

    Muache mtu aseme alichofanyiwa unakataa nni ssa we mama? Jamaa ndio tabia yao njaa njaa tu wanaombaomba sn hata kituo kikuu pale nyamagana ilishawahi nitokea unatetea nn ssa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Ajali za kujitakia hizi tena gari limeandikwa danger bado unasogea
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    Just imagine wwe ndio ungekuwa huyo mkuu wa mkoa ungekubali kuwajibishwa? hapo msala wote anaubeba dereva kosa kubwa alilofanya ni kuacha ufunguo kwenye gari je lingeibiwa? huo ni uzembe wa hali ya juu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa mochwari na mnyongaji gerezani

    Hapo unaposema mtu akishakufa hata kama ni ndugu yako unaanza kumkinai,kumkataa as if ni kitu cha kinyaa sana ni uongo binadam uwa apati kinyaa kwa maiti asilani bali hofu kwa baadhi ya watu kwan maiti uogofya
  9. K

    JamiiForums Tanzania Askari feki aliyewahi kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria akamatwa na vifaa mbalimbali vya Jeshi

    Miaka 23 awe ass inspector? una utani wwe huna tofaut na huyo dogo akili zinafanana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lutinga mmasai, diwani wa tanga vijijini unatutesa

    Habari yako umeiandika kishabiki sana mtu awezi leta mamlaka kwenye mali za watu hizo pesa ndefu ni zake dawa ya mtu kama huyo ni kumshitaki atakuja tolewa vyombo mchana kweupe udiwani ndio nni kwani?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi ya kutabiri miaka yako ya kuishi kwa kutumia smart phone

    Story hiz muwe mnaambiana huko shuleni humu kuna watu wazima
Back
Top Bottom