We are beyond 'Team Lowassa'. Tunatafuta Rais wa Tano wa Tanzania, mwenye sifa na uwezo wa kutuondoa katika mkwamo tuliomo sasa. Tunachelea kujadili watu kwa sasa, bado tunaendelea kutafuta sifa za mgombea urais mwenye sifa stahiki badala ya wanasiasa wa kuchongwa.
Kosa letu kubwa ni kukataa...
Akutukanaye hakuchagulii tusi. Kama kuna jambo ambalo polisi na serikali ingefurahia sana kulitenda na kulifanya basi lisingelikuwa jingine bali kumkamata na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria mwanaume aliyechukua sheria mkononi na kuniumiza kwa kiwango hiki eti kwa sababu miye kumchukulia...
Watu wengine wazushi na wa hovyo sana. Lini niliishukuru serikali wakati haikunitibu? Mtu uliye tayari kumuwekea mtu maneno mdomoni utashindwa kubuni uongo mwingine wowote?
Watanzania wenzangu ni watu wa ajabu sana. Miye ndiye niliyeteswa na watu nisiowajua. Sikupata kupata kitisho chochote...
Heri miye nimepata fursa ya jicho la kondoo. Yanayokuja kwako yatasababisha ubakie jina. Utakuwa kielelezo halisi cha matokeo ya fikra za kikatili na kiuaji ulizonazo. Saa yako yaja
Natangaza rasmi kuchukua fomu na kugombea ubunge Rungwe Magharibi 2015. Nimechoshwz na usultani ambao umeshindwa kuleta tija. Oscar Mwambene tangulia kaka na mimi nakuja nyuma yako..
Wana jamvi
Yamesemwa mengi mema na mabaya kuhusu mimi Absalom Kibanda. Wengine tena wana habari na wakiwamo wahariri wenzangu, wakitumia kivuli cha majina bandia wakafikia hata hatua ya kutoa matusi ya wazi na kebehi juu yangu. Ni kweli nimeondoka Free Media Ltd na kujiunga na New Habari...
How could we allow jokers to think big?
Mark my words im not a sell out. I have made the un expected, I sincerely know what I do and think.
Those who think that Chadema is a movement and not a political party are doing a silly mistake.
I salute change, I believe in change, I will...
Nimemtetea Lowassa katika suala moja tu la Richmond na Dowans na bado naendelea kumtetea katika hilo. Uamuzi wa mahakama kuhusu suala hilo ni ushahidi wa wazi kwamba taifa lililishwa sumu ya hatari kuhusu mradi huo. leo hii mitambo ile ile imenunuliwa na Wamarekani...mashabiki wa kashfa hiyo...
Im that much cheap! Nani anilipe kwa makala. Nalipwa fedha za kutosha Tanzania Daima. Natengeneza fedha ya kutosha kwa kazi nazofanya binafsi. I'm proud of myself.
Hahahaa... Hili ndilo tatizo la msingi. Hawa wanasiasa akina Mbowe, Lowassa, Zitto, Jussa, Nape, Rostam na Kinanani marafiki zetu wa kikazi na kiwajibu. Ama ni sources of news and informations au ni clients wetu ambao kwa sababu za kitaaluma tunawapa ushauri wa masuala ya habari na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.