Wengine wamejenga hizo nyumba kwa mikopo halafu wapangaji wanataka wakae na kulipa watakavyo!!
Seriously kwanini wasirudi kwenye nyumba za familia zao?
Maisha yakiwa magumu sana na kushindwa kulipa kodi rudisheni mpira kwa kipa.
Habari za mchana?
Shule ya English Medium iliyopo Pongwe,Tanga jiji.
Ina nafasi ya mwalimu wa darasa la kwanza na la pili.
Sifa
Awe anajua kufundisha masomo husika
Awe na upendo kwa watoto
Awe na uzoefu na kazi husika.
Mawasiliano infotanzaniaa@gmail.com
Au ni PM
Habari za wikiendi?
Eid Mubarak
Shule ya msingi ya private iliyopo Pongwe,Tanga jiji.
1. Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa kazi si chini ya miaka 3
2. Mwalimu wa darasa la kwanza na la pili
Awe na uzoefu wa miaka miaka 2 na zaidi.
Awe na tabia njema na uwezo mkubwa wa kufundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.