Mimi nakushauri uilete familia yako mjini mpambane,maana kama iyo pesa ndogo uliyonayo unaweza kuishi mjini na umepanga halafu ukabakiza ya kutuma mkoani nao wakala na kupanga na matumizi mengine,inatosha kabisa.
Usiwaze juu ya mkeo kupoteza kazi ambayo haimlipi kwa wakati na kama changamoto...
Mimi ni kijana wa Kiume na nimesoma kozi ya Bachelor of Technology in Laboratory Science kutoka DIT.
Ninaweza kufanya kazi kwenye kiwanda chochote kinachozalisha bidhaa au kusindika bidhaa kama mhakiki wa bidhaa hizo.
Lakini pia ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi zozote za utafiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.