How jf members,
If there is anyn one with any information on the above title please inform me. I am really curios to know if they have already shortlisted or not.
Regards
Kaka nakupa hongera kwa wazo lako zuri ilka hapo kwenye kumtambua adui inabidi kuwa makini, unaweza ukadhan kuondoa uongozi uliopo na kuleta mpya ndio suluhisho kumbo ndio ukaja ukajuta. Nadhani tunahitaji kubadilisha mfumo
Kaka hiyo ndo serikali yetu, kama unaweza tafuta kazi private lakn usidhanie ni kirahisirahisi ivyo. MM mwenyewe niko serikalini lakn cna la kufanya ila kuwa mpole.
Kwa ushauri kama unaweza tafuta mkopo uwekeze sehemu bila ivyo mambo yatakuwa magumu cku zote.
Jamani naulizia vp kuhusu nafasi za kazi TPDC zilizotangazwa mwezi wa Juni 2013 majina ya walioitwa kwenye interview yameshatoka au bado? Kama yametoka yanapatikana wapi?
Kaka JF hata mm nakuunga mkono. Kulingana na maelezo yako ni bora Mbeya ibakie kama ilivyo ila ninacho hofia ni kuwa kuna baadhi ya watu watakuwa wabamaslahi yao binafsi na kama wana nguvu serikalini watatuangusha tu.
That's what I am worried about.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.