Recent content by Kibaba MFS

  1. Kibaba MFS

    Point of sale solutions to fit your business - Tanzania

    Because every business is different, Franklin BMS has a variety of POS options to help you take yours where you want it to go. Whether you run a restaurant, sell retail goods, book appointments, or just need a versatile POS for whatever comes next, we have the point-of-sale software that will...
  2. Kibaba MFS

    Natafuta Mtaalamu Wa Kutengeneza Leja na Vitabu vya Vicoba Nimpe Tenda

    Sina hakika kama ulifanikiwa, hebu jaribu Program ya Kibaba VS Kwenye Simu au Computer www.kibaba.co.tz Unaweza Download APP hapa Kibaba for Vicoba - Apps on Google Play. Hii ni Program kwa ajili ya Vikundi vya Vicoba, imetengenezwa ili kurahisisha kazi za kila siku, kama taarifa za wanachama...
  3. Kibaba MFS

    alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
  4. Kibaba MFS

    Kibaba MFS | Programu ya ViCoBa - Jarida la Mwezi

    Jarila la Kila mwezi la Kibaba limetoka Tazama bila kupakua (Without Downloading) hapa Au unaweza Pakua hapo chini
  5. Kibaba MFS

    Je, Unatafuta Programu kwa ajili ya Kikundi chako cha ViCoBa ?

    Kuhusu Kibaba MFS Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, MFI na Upatu. Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi...
  6. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Kibaba MFS itaendelea kutengenezwa kadri watumiaji watakavyoona inafaa. kila maoni yatachukuliwa na kufanyiwa Kazi. Mara kwa Mara kutakuwa na Usasisho (Updation) wa Mfumo.
  7. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Asante sana kwa kupitia Features zetu, unajua MFI ni pana sana, kwa watu au kampuni zinazo kopesha watu kwa riba zinaweza kutumi hii Software ili ku track Wanachama na mikopo yao na Tarehe za kurudisha mikopo. Lakini System ya Kibaba inaweza Ku update muda wowote na Development team inaendelea...
  8. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Karibu sana Baba wa Mapaka
  9. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    APP kwa ajiri ya Android ipo njiani, muda si mrefu itazinduliwa, pitia website ya Kibaba MFS mara kwa mara, utapata taarifa za kukamilika kwa Android App Kibaba MFS Sales Team
  10. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Programu hii utaipata kwa Tsh.150,000 gharama hii ni ya mara moja kwa ajiri ya kupata leseni yake. maelezo zaidi juu ya Manunuzi utayapata http://kibaba.co.tz/nunua Karibu sana Kibaba MFS Sales Team.
  11. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Tunashuru sana kwa Hongera zenu, tafadhali ulipata muda Jaribu kuitumia, Kibaba MFS
  12. Kibaba MFS

    SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

    Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, MFI na Upatu. Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi pekee wa Kadi...
  13. Kibaba MFS

    Kibaba MicroFinance Solution

Back
Top Bottom