Recent content by Kiazimaji79

  1. K

    Je Serikali Ilifanya Makosa Kuwapa Uraia Wa Tanzania watu Wenye Asili Ya Rwanda na Burundi?

    Wakati wa utawala wa Joseph kabila ,wakongomani walipinga sana, kwamba wanatawaliwa na mnyarwanda, kama kuna mtu anakumbukumbu gazeti la mwanahalisi liliwahi kuandika habari ya Joseph kabila wakinukuu gazeti moja la ufaransa kwamba baba yake kabila alikuwa ni mnyarwanda aliyekuwa rafiki wa...
  2. K

    PreGE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

    Kenge wewe wameandamana, mama kayaruhusu wewe mbwa mmoja unasemaje
  3. K

    PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mbowe kasema maandamamo trh 24, huyu chalamila kasema usafi utafanywa na jeshi trh 23 na 24, haya bwana hao ndio ccm ,wenye kuelewa mchezo ngoja tukae kimya
  4. K

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Huwezi kutengenezadawa ya ukimwi halafu wazungu wakakuacha Salama, kuna habari iliwahi kuripotiwa kwenye mitandao kuhusu mwafrika kutengeneza dawa kwakutumia matunda, lkn kabla hajaisambaza wakalamba kichwa chake, akatokea mwandishi aliyetaka kueleza ukweli kuhusu kifo cha huyo mwamba naye...
  5. K

    Israel kujitetea kesho Mahakama ya Kimataifa ICJ, tukeshe tukiwaombea!

    Afrika kusini wana usafi gani kufunguwa kesi dhidi Israeli wakati wanaua wahamiaji kila siku
  6. K

    Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

    Aisee nmecheka sana, jamiiforums raha sana
  7. K

    PreGE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Uwaombee ili iweje, washauri watu watubu dhambi zao waache kufanya dhuluma
  8. K

    Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

    Ndugu naunga mkono hoja, tafuta picha wafuasi wa masonic halafu angalia hiyo picha ya Papa huo ufito mweupe umekaa v ndio utajuwa kakolki ni kina nani
  9. K

    PreGE2025 Masikini Gambo, namuona akifungiwa virago mapema Arusha Mjini

    Huyu jamaa sijawakumkubali hata kdgo, alipokuwa mkuu wa mkoa arusha aliwadharau sana wapinzani, tabia zake kama sabaya tu
  10. K

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Ahsante ndugu watakuelewa? Maana machawa wananjaa hatari
  11. K

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Ndugu tema mate endelea kutafuta ugali wa watoto, haya mambo ukiyafikiria Sana utapata kihoro
  12. K

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Mnafiki mkubwa wewe, mtamsema sana ila bado yupo juu, si alikutumbuwa wewe na ndugu zako kwa vyeti feki
Back
Top Bottom