Recent content by KIATUE

  1. K

    ofaaa maalum kwa watumiaji wa VPN

    Sasa pata vocha za pdproxy kwa shiling elfu 6500 katika bei ya jumla ofa hii ni ya muda tu .wasiliana nasi 0688148836
  2. K

    Kwa wale wajanja wa town net ya bure hii hapa fuata step hizi chache ufanye yako

    kwani hiyo program imeandikwa pd njunwa au pd mwalim so kama haijaandikwa hivyo bas maanake teckolojia kila siku inakua na utegemee things mpya
  3. K

    Kwa wale wajanja wa town net ya bure hii hapa fuata step hizi chache ufanye yako

    niwashukuru sana wale ambao mmefuata steps nilizoweka na kufanikiwa kufikia hatua ya kuweka user name na pasword ambabaadhi niliweza kuwapatia username na paswd wakatumia net bila kikomo .kimsingi ni kwamba kuna option mbili katika haya mambo ya PDPROXY kuna option ya kwanza ambaunapewa freee MB...
  4. K

    Kwa wale wajanja wa town net ya bure hii hapa fuata step hizi chache ufanye yako

    well niwashukuru sana wakuu kwa kuelewa somo kwa wanaohitaji username na pasw nicheki kwa 0688148836
  5. K

    Kwa wale wajanja wa town net ya bure hii hapa fuata step hizi chache ufanye yako

    http://bugando2.blogspot.com/2013/09/maujanja-ya-kupata-neti-sawa-na-bure_29.html
  6. K

    Social credit company ni kampuni ya ukweli au magumashi?

    Nimepita mitandaoni nikapata link iliyonifikisha katika kampuni hii ya social credit compani link ni hii hapa SOCIAL CREDIT COMPANY so nauliza hawa watu wanasema wanatoa mikopo ila kuna masuala ya kulipa ada ya tsh 38500/= na mambo kiba katika site yaooo ebu cheki halafu tulijadili hili
  7. K

    Nina wazo hili wadau

    poa mkuu ila umeme upo fresh coz hospitali inalipa flat rate na hapa hakunaga limit ya matumiz ya umeme
  8. K

    Nina wazo hili wadau

    Nina wazo la kuwekeza katika cho kimoja hapa tanzania ambapo katika chuo hicho watu wengi hufuliwa nguo zao na wadada waliopo hapo chuoni sasa mimi nataka niwaajiri wafuaji hao ambapo nitaka kununua washing mashine ambayo nitaifunga katika site hiyo . swali langu sasa napenda kama kuna mtu...
  9. K

    naombeni ushauri kidogo wadau

    naweza wekeza kitu gani..nina kiasi cha shiling milion 1 na nusu nataka niwekeze katika chuo kikuu saut mwanza hapa choni kuna vitu vimewekezwa mfano stationary.duka la mahtajimadogo madogo,cafeteria,duka la mpesa ,kibanda cha juice n.k ni vitu gan vingine naweza wekeza kwa pesaa hiyo?
  10. K

    Kwa kiasi hiki cha laki nne na nusu naweza fanya ishu gani hapa mjini?

    Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mbungani mwanza nina kiasi cha shilingi laki nne na nusu sasa naomba wana JF mnipe mawazo kitu hata kama ni chA kawaida nawezaje zalisha na kuanzisha kibiashara gani kwa kiasi hiki?
  11. K

    Msaada tafadhali

    Ndugu nilikua na sim aina ya samsung galaxy ,nikaibiwa sim hiyo ,masaa machache tu namba yangu ikawa haipatikani ila nilikuwa nimelog in kwa kutumia facebook katika sim yangu,nadhani mtu huyo hajalog out .maana kila nikitumia device nyingine najiona niko onlinenaweza je kumpata huyo mtu hata kwa...
Back
Top Bottom