Recent content by Kiangi Ally

  1. K

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Daah sio siri aise hakuna kitu kinakera kama mtu upande basi safari yenyewe ndefu kama nn afu ss unakuta old songz mwanzo mwisho hahahahahaha daah hii kitu inaboaa sana afu ile mmebakiza kama dkk 45 mfike unakuta konda anawawekea movie kali au ndio nyimbo kali anaanza kuweka hii kitu inakera...
  2. K

    Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

    Nipo sua pia cha msingi kua na subira maana chuo hua kinatoa mda wa kuregister like wiki mbili hivi ko ukienda kabla majina hayajatoka ni sheria kulipa ada yao like 631,500 na cost zingine kabla ya registration ambayo itarange mpk 850,000 ila ukiwait ndan ya wiki hizo hapo hua wanatoa majina ya...
  3. K

    Bodi ya mikopo na tuition fees

    Kijana usiwe na haraka nakumbuka sisi mwaka jana tulifika vyuoni tukarubuniwa kua tukilipa loan result zikitoka mtu utakuja kurudishiwa pesa yako ila kilichotokea baada ya hapo kama ulilipa ada ikazidi bas watakua wanakata juu kwa juu cha msingi nnachokushauri najua chuo huwa wanatoa muda flani...
Back
Top Bottom