Recent content by ki29

  1. K

    Nimesikitika sana mgeni wangu kupigwa vibao Kariakoo

    Sasa mkuu we unge muuliza una familia na ana watoto , angejibu ndio tu basi nawe unge mpiga kofi moja takatifu , hyo ni mpuuzi tu maana ana shindwa kuelewa kama hii ni secular state huwezi apply islamic law direct bali angemuomba tu afiche maji , babu wa mke wangu kaenda kuhiji mara kadhaa na...
  2. K

    Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Utazidi kuuchafua lakini uislamu wenyewe unajieleza , hutoweza na hii si mara ya kwanza kwa uislamu kuongolewa vizuri na wasio waislamu kwa kuona na kuuthibitisha ukweli
  3. K

    Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

    Hapo kabla nilijua mtu makini ktk uchambuzi wa masuala mbalimbali sasa ile kuingia habari zingine ( dini) alafu anachongea ni kama mlevi toka siku hyo nikajua hamna kitu kabisa , badala ya kuwa taikuni wa fasihi kumbe ni taikuni wa ushuzi
  4. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Kaka hyo mpenda matusi kazi yake ni hyo ila hana hoja ya msingi , huu ni mfano kuwa ktk jamii wengi wataki ukweli bibilia ina
  5. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Shida ya baadhi ya upande wenu hamuna hoja zaidi ya matusi , eti kamdhalilisha mbona hyo Aaliyaa mpaka anakuwa msanii mkubwa hakuwahi kumshtaki au kulalamika sehemu?????, au mbona walivyo vamia hilo gheto alikuwa aki ziniwa hyo Aaliya hakutoa ushirikiano ?, eti wewe unajiita upo timamu...
  6. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Huo wivu tu sasa ulitakaje ?, niki endelea kuandika utasema nakutukana bure ila hicho kitoto kiache kipate neema ya utajiri , hii sio hoja kabisa, mbona R.kelly alikula bk ya AALIYAA, tena bado kitoto kidogo sn, na hyo aalliya hakubakwa that means
  7. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Mkuu nadhani huja nielewa kabisa , mimi sijasema kuwa hii ni kinga ya mimba big no, ila nimesema kwa huo umri ikiwa kila hatua za uchunguzi zimezingatiwa basi msichana apewe baraka za kuozwa , kuozwa au kuolewa si kununua na hii dhana wengi wasio waislamu wanashindwa kujua lengo la ndoa ...
  8. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Sasa hilo mkuu hawqtaki kulikubali lakini ndio ukweli wenyewe mzigo unarudi tena kwa familia , hii ni shida kubwa sna
  9. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    kinyime chake nyie hampendi watu kufunga ndoa yaani in short muna encourage zinaa , stop huko uliko sija kutukana bali nimefanya vaisi vesa
  10. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, hv mkuu unawajua wanafunzi wa sikuhizi ?, samahani lakini hv ushawaona wanafunzi wa shule zetu hz za kata ?, acha kabisa mkuu kama watoto waliosalimika ni wachache mno, fanya reserch ya watoto wa kata hzo gari zao ni shida tupu , full mziki na bila...
  11. K

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Nakubali sisi Watanzania wengi huwa wavivu wa kufikiria hata jambo liwe dogo kiasi gani, na huo ni ujinga , hivi unasema asiolewe ili hali anafanya machafu na watu wazima wa kila rika? Hivi kati ya penati na mpira wa kurushwa bora nini?, una sema asiolewe sasa akija kutiwa mimba ndio utaona...
  12. K

    Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

    Japo siafiki mambo ya kishirikina lakini mshana is right person , ila kwa hyo robert sijui hamna kitu kabisa , ana tabia ya ku vamia vamia vitu bila ya kujua kwa usahihi, tena huyu ni taikuni wa ushuzi
  13. K

    Kwanini ZINAA ni dhambi?

    Cotradict sio yangu , cotradiction zipo ktk kitabu , ndio maana nikasema hyo MUSSA alikuwa dedicated kwa wana wa islael na syo wakristo , sasa mtu akija kuleta andiko la MUSSA kuhusu islael ilihal Mussa alikuwa dedicated kwa watu fulan , siwezi elewa
  14. K

    DR Congo hali ilikuwa tete sana, tangu mimi nizaliwe sijawahi kuona matendo kama yale ambayo tulikuwa tunafanyiwa sisi

    Umejitahidi lakini unapaswa urejee ktk mchakato wa lahaja na usanifishajwi wa lugha ya kiswahili na fikiri utapata kitu kipya na mtazamo mpya , japo sina elimu lakini nakupa na hili la mwisho , kila lugha la zima ikope ( iazime ) maneno kutoka lugha nyimgine na hii ni kwa lugha zote dunia ...
  15. K

    Kwanini ZINAA ni dhambi?

    Na pia usisahau hzo amri alizopewa MUSSA alipewa awape au awaambie wana wa islael , na hao waislael walikua wakisubiria kwa hamu hz amri
Back
Top Bottom