Mwacheni dr slaa achape kazi. Mnafiki mara zote ni kueneza majungu tu mara mumeo nimemuona na binti fulani ama yupo bar huku ya kwako yenyewe yamekushinda. Wacheni chadema waendeshe mambo yako. Zingatieni ya kwenu
Mimi kama mutu mupenda tanzania hii nmesema kile nilichokisikia. Ni juu yenu kuendelea kupuzia hali hii. Na ndiyo maana nchi zetu haziendelei. Kila raia ana kazi ya kulinda taifa lake, kila raia ana haki ya kukamata dawa za kulevya maana ni janga la taifa ukisema kazi hiyo siyo ya uhamiaji wewe...
Katika hali isiyo ya kawaida leo majira ya saa mbili asubuhi nikiwa naelekea kanisani nilibahatika kupanda gari na vijana 2 kiume na 1 wa kike ambao sikuweza kuwafahamu haraka wakiwa na furaha kubwa na kumpongeza mkuu wa kitengo cha uhamiaji ktk uwanja wa kimataifa wa julius nyerere kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.