Recent content by khoty

  1. K

    JamiiForums Tanzania Said Bakhressa aanza kuwasogelea wanasiasa

    hizi porojo za masikini mvivu, na wewe kafanye kazi acha anaefanya kazi awe bepari maana hata tusipokuwa na mabepari waua chawa watakuwa wengi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lema kupanda kizimbani pamoja na viongozi wa CHADEMA wa Arusha mjini

    Break news: mbunge wa arusha mjini Godbless Lema apelekwa jela: aacha waraka waukombozi kwa wananchi wake na watanzania wote soma waraka hapa: JELA NI MAHALI PA KUISHI KAMA SABABU YA KWENDA HUKO NI VITA DHIDI YA UONEVU, UKANDAMIZAJI WA HAKI NA UTU WA BINADAMU. Wapendwa wapiga kura wangu na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    hii hoja ni ya msingi kabisa, muelekeo wa ufanyaji biashara ufuatwe na taratibu! safi sana makamba....
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    crap crap .............. wewe utachangia nini
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    kweli maana ya utafiti ni finyu kwa waliowengi sasa kwa staile hii mtu an aweza fikiria hata kwamba choo chake kimebomoka?
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Wasaidieni chadema kwa hili la upotoshwaji wa hoja yao na propaganda

    scrap chabema mmeterizi mitandao hasa hiii jamiii foram ndo scraps tupu watu wanafanya tawi la chadema
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Thanks Kagemro for speech....... its great
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Katavi kanuni za bunge hazimlazimishi mbunge kuuliza swali cha msingi fahamu mbunge wako hatambui anachokifanya..... wewe wamsapoti maana hujui unachokifanya, uwezo wa kutambua mtoto ni mzazi wake...... hongera Familia ya Lisu .......
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    heheeeee wabunge wapya ni tundu na kristina, azungumzie ukuaji wa uchumi kwa kutumia filosofi au uchumi gani kwa mwanasheria??????? acheni wehu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    heheheeeeee walitoka ili wafanywe kitu?????????? ndo zenu kuropoka .......... fulani kajinyea akanishitaki..... wehu huo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    heheeeeeee heheeeeeehe tutaona chadema wataomba hela za kutekeleza majukumu yao kwa slaaaa au JK heheeeeeee Kidumu CCM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    CHEZO uliahidiwa tenda ya kujenga ofisi za chadema ukarushwa......
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    spika anakazia kuhusu umasikini......
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    mipasho nayo burudani kama bongo flava etttttiiiii Bwana 2, hapo vipi.....
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    msiwakatishe tamaaa watz, sote 1 1 na pamoja tutumie nguvu na maarifa kama ndugu na kufanya tz bora, maisha bora kwa kila mtz inawezekana, Timiza wajibu wako
Back
Top Bottom