Recent content by khmbrzy

  1. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Kati ya TIA, CBE na IFM

    Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
  2. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Interview TRA Risk Officer

    Asante broh, tuombeane kak
  3. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Link ya Risk Officer 2 hyo https://chat.whatsapp.com/D4j2GnZ5DcQ0ATpqV2CClU
  4. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Interview TRA Risk Officer

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kufanya interview ya Risk Officer TRA, naombeni techniques na formula jinsi maswali yanavyotolewa na jinsi ya kupita hyo interview 🙏🙏🙏
  5. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

    Kazi yeyote mkuu, ambayo mtu mwenye elimu ya diploma naweza Fit, nisadieni tu wakuu
  6. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Karibu kwa huduma ya bima zozote 0758639477
  7. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

    Thanks 😊
  8. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

    Thanks 😊
  9. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

    Habari zenu wana Jamii Forums Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job. Tafadhati naomba kama kuna nafasi yoyote ya ajira hata kama ni tofauti na career yangu, naomba nisaidiwe. Mkoa wowote ndani...
  10. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Kozi na chuo kizuri kusoma digrii

    Naomba hiyo mifano tafadhari
  11. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania AVN number kutoka Nactvet

    Asante sana 🙏
  12. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Kozi na chuo kizuri kusoma digrii

    Habari wakuu Natanguliza shukurani Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable, naombeni ushauri nisome course gani wakuu na chuo gani. 🤔
  13. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania AVN number kutoka Nactvet

    Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo...
Back
Top Bottom