Recent content by Khasamo

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Du kampiga mwenzake kwa ubunge. Tuweni waangalifu sote ni watanzania, tuna haki sawa. Hakuna alie juu ya sheria. Hapo ni lazima sheria ichukuwe mkondo wake na adhabu kali itolewe iwe ni fundisho kwa wenziwe.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Wacheni propaganda nani kasema hayo. Maalim seif hawezi kujiuzulu hiyo habari wewe mtoa post umeipata wapi.. Au umetumwa kupima joto.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Siku ya Walimu Kitaifa, Bukoba - Kagera, Oktoba 5, 2014

    Tanzania bwana imesheheni siasa za maji taka. Kukandamiza hisia na mawazo ya wanyonge. Hao ndio viongozi wetu walivyo wanataka kusifiwa lakini hawapendi kutenda haki. BIG UP WALIMU MESSAGE SENT.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    Mungu mkubwa UKAWA HEWA wamemsaidia SITA. Jamani hawa watu wanawanga mchana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dale Decker: Mwanaume anayefikia mshindo (Kileleni) mara 100 kwa siku

    Huyo jamaa kachukua wicho wa jogoo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: CUF hawaitaki Serikali ya Mapinduzi

    Mimi na shangaa ukizungumzia kero za muungano hawa viongozi wetu wanajifanya hawaoni na kuacha kusema ukweli na kuongopea ati kuvunja muungano. Miaka 50 kero zimeshindwa kutatuliwa sasa sijuwi tuendelee miaka mingapi ndio mutamaliza hizo kero? Mimi naamini kwa mfumo huu tulionao hatuwezi kutawa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Trh 25 Aprili 2014 - Kubadili tena kanuni

    Akili nyingi mbele ni kiza. Majuto ni mjukuu. Tafadhalini tusichezee katiba. Katiba ikichezewa matokeo yake ni maafa. Maoni ya wananchi musiyapuuze. Wananchi tunataka katiba ilisheheni mawazo yetu. Lasivyo ilikuwa hakuna haja ya kuundwa tume ya kukusanya maoni. Mungalikaa tu ccm mukatutungia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Rais Kikwete kwa Maendeleo wilayani Karatu

    Ukiona ccm imehamia sehemu basi utambue na mtego upo. Huenda ikawa ndio chanzo cha kujijengea ngome ya kuibomowa upinzani. Kwani ccm inajita chama dume.
  9. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kukutana na waandishi wa habari saa 8:00 mchana huu Zanzibar

    Ukawa ndio watetezi wa wananchi. Na hawawezi kusaliti wananchi kwa kusaka tonge.
Back
Top Bottom