Recent content by Khamisi Mkuza Umai

  1. Khamisi Mkuza Umai

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Mimi ni Fundi wa kuchora matangazo ya biashara ukutani na kupiga rangi magari kwa kuchora hivyo hivyo matangazo(spray)na kutengeza mabango aina mbali mbali kuprint t-shirt na alama za barabarani na vingi vingine vinavyohusu matangazo mbalimbali Kwa mawasiliano 0784367859/0767367859/0715367859
  2. Khamisi Mkuza Umai

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maboga

    Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata
  3. Khamisi Mkuza Umai

    JamiiForums Tanzania Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    TANEPS ndio wapi kwa ajili ya huo usajili ili kupata hizo Zabuni nijulishe tafadhali
  4. Khamisi Mkuza Umai

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane kuhusu Kilimo cha Pilipili Manga, kuanzia mbegu bora, magonjwa, utaalamu mpaka masoko

    Njoo amani zipo kwa wingi sana ila ni kwa sehemu tofauti unahitajia kilo au tani ngapi ?
  5. Khamisi Mkuza Umai

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane kuhusu Kilimo cha Pilipili Manga, kuanzia mbegu bora, magonjwa, utaalamu mpaka masoko

    Una taarifa na hilo soko ipo kwa wingi sana pilpili manga anahitajia uwingi gani
Back
Top Bottom