Habar zenu
Naomba msaada
Sioni ule ute ambao unatoka siku ya hatar hvy nashindwa kujua ni siku gani ambayo ni sawa kwangu kwa ajili ya kutafuta mtoto
Na ni vyakula vipi naweza kutumia ili kusaidia kutengeneza huo ute kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya humu,
Jamani mbona mimi sioni kama ni jambo la kushangaza sana au la kuumiza sana nafsi kwa mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama anauwezo wa kumhudumia vizuri (6x6) hata kwa mavazi na chakula muache jamaa muache kwanza unapata thawabu nyingi sana pia;
-Unapata muda mwingi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.