Habari wakuu,
Naitwa Khalifa Nassoro ninaishi Kitunda-Banana, Dar es salaam. Nimesoma Bachelors degree in Accounting and Finance (BAF) chuo kikuu Mzumbe, Morogoro 2021.
Nina umri wa miaka 25. Nilivyomalizaga chuo niliamua kubaki Morogoro katika miangaiko ya hapa na hapa nikapata ofisi ya...
Wakuu,
Habari za muda huu,
Natanguliza shukrani. Kuna dada anatafuta kazi. Ana Certificate ya Usecretary na Computer. Anatafuta kazi ya Usecretary au Stationery.
Nimeona niliwasilishe kwenye wana jamvi kwa mwenye kufaham au kuweza kumsaidia tumsaidie. Anaishi Kitunda, Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.