Acha akafungwe coz hakutaka ushauri yy aliona media ndio itakayomsaidia sasa media hiyo hiyo Leo ndio inayomlusha wakati akitoa machozi kama ilivyomlusha wakati akitabasamu pindi anapoenda kujibu Kesi ya mauwaji ,nyooo utamkumbuka Madame Mange Kimambi
Mange yuko right ,huu nikama ushauri kwa Dada lulu,na ukimsema mange analukia kila jambo basi hata nyie mnae mponda mange ni vihelehele coz hata nyinyi pia ya lulu na mange haiwahusu mwacheni ajibu lulu mwenyewe ,Kesi ya mauwaji na kujitumpia mitandaoni ukitabasamu baada ya kutoka kwenye Kesi...
Kuna watu wamekalia povu kwa kila jambo aliongealo mange bila kujuwa lina faida gani kwa muhusika ,binafsi hii post ya mange nimeona kama ushauri mzuri kwa Dada lulu coz yupo kwenye wakati mgumu nw so ili mungu amsaidie ni lazima na yy aonyeshe moyo wa huruma kwa familia ya Kanumba na c...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.