Recent content by khalifa awe

  1. khalifa awe

    House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma Mjini

    Mawasiliano yangu 0683670160
  2. khalifa awe

    House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma Mjini

    Nyumba inauzwa Dodoma Mjini ina vyoo vi2 vya public master tatu sebule moja jiko moja na fremu za maduka nne, bei milioni 300, ipo barabara kuu ya singida maongezi yapo kidogo hati ipo haina dalali
  3. khalifa awe

    Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

    Dodoma kuna CHINANGALI nyingi mkuu
  4. khalifa awe

    Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

    Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini eneo la Nala CHINANGALI, block EE, tazama kwenye picha kiwanja namba 384 SQM 3954, ni hatua chache toka barabara kuu ya kwenda singida, kiwanja kina hati, kiwanja ni changu hakina Dalali, kila SQM 1 ni sh elf10, kama wewe ni Dalali nitakupa asilimia...
  5. khalifa awe

    Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Una laana, kwa hiyo anayepigwa kwake na anayepiga nani gaidi, alafu usichokijua ni kuwa hao wayahudi sio wakristo maana wakristo moja ya amri ni kutoua na kibinadamu kujua wazee, watoto na wanawake ni kitendo cha kinyama, hata wantama hupigana madume tena yenye nguvu wamama, watoto, watoto...
  6. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Karibu sana ndugu zangu kiwanja bado kipo
  7. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Unashaurije, nina shida ya pesa, hati ninayo na ninalipia
  8. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    0683670160 utanipata tufanye biashara
  9. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Usijali ni biashara na huenda utapata maana kila mmoja ana bahati yake
  10. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    KIWANJA ni changu hati ipo ya kielectroniki kabisa
  11. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Ukiwa Nala park hapo ni Nala Jamaica, upande wa pili ndio Nala CHINANGALI, sasa hapo Nala park kama unarudi mjini Kuna shule inaitwa saint home, alafu upande wake wa pili Kuna hiyo barabara mpya iliyochongwa kwa mbele utaona Kuna nyumba imepauliwa paa refu sana kunaitwa kwa msukuma, sasa kwenye...
  12. khalifa awe

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Ni asilimia 10 boss
Back
Top Bottom