Hamna kitu kama hicho. Mipaka ya nchi ipo na lazima iheshimiwe iyo ina apply kwa jamii zote. Huu mgogoro kuna mkono mkubwa wa Kenya, maana naona wao ndiyo wanaongoza kupiga kelele.
Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ikikuwa kwa kiwango flani kutokana na uwepo wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyoanza mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Tangu kipindi cha kuundwa kwa jumuiya hiyo , biashara imekuwa ikikuwa na mpaka kufika 2021, biashara kati ya Tanzania na Kenya...
Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER.
1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani.
2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu
3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote)
4. Uwepo wa Dini mmoja...
Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi.
Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.