Recent content by Khaleid

  1. K

    Huyu Sheikh haogopi? Anaitwa Sheikh nani?

    Habari zako mrembo
  2. K

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Twin kid acha porojo njoo na hoja madhubuti unaongelea ishu ya ibilis na haujui hata story yake somen acheni ujinga mmekaza mafuvu kukataa uwepo wa Mungu na bado mnapinga vitabu vya Mungu kwa kuleta hoja zilizo anzishwa na watu kama nyinyi hivi unahisi usipo muamin Mungu atapungukiwa na kipi au...
  3. K

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Tupe tafsir/mana ya neno dini mana mnatudanganya sana kuwa hamko na dini
  4. K

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Infrpreneur ishu ya wew kutaka kumuona Mungu haikuanza kwako au kutaka ishara ya wazi ya uwepo wake wapo watu kabla yako lkn mwisho wa siku baada ya uthibitisho kuwafikia bado walikataa kumuamin mfano wa watu walioomba uthibitisho niIbrahim alimwambia naomb nionyeshe ni namna gani unafisha na...
  5. K

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Infrpreneur uko Tz ndo nchi yako umepewa uhuru wa kufanya chochote ila kuna sheria zimewekwa ukienda kinyume unaadhibiwa sasa kama nyinyi kwa nyinyi mnwekeana sheria vp Mungu alie kuumba anaachaje kukupa mfumo wa wew kuishi
  6. K

    LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Infrpreneur ishu ya Radi kupiga haihusiani na ubaya au ukatili hiyo ni ktk ishara za uwepo wa Mungu kasome Quran kuna sura inaitwa surat Rad imeelezea vizur zaid kuhusu radi
Back
Top Bottom