Waziri wa ardhi, RC Paul Makonda, hiki kibanda kimejengwa barabarani kabisa kwa zaidi ya miaka 20, mmiliki wake anafahamika na analindwa na maofisa wa hovyo hovyo. Kibanda hiki kiko nyuma ya conti car kwenye ukuta wa Sinota Ship mtaa wa Maktaba zilipo ofisi wauzaji wa magari ya Renault...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.