mie nampa pole sana huyu mzee lakini pia namshauti arudi nyumbani kwake akae atulie bse kazi aliyotumwa na mh Rais keshaifanya na kuimaliza. sasa suala la imekubalika au haijakubalika halimuhusu
Mjomba, kwa hiyo hata Prof. Wangari Maathai (Kenya), Nobel Peace Prize winner, katika uhai wake dessertification iliyokuwa inaendelea Kenya alishindwa? Dr. Ngozi Okonjo-Iweala (Nigeria) former Managing Director at the World Bank & former Finance Minister kwa corruption inayozidi kukithiri...
Eti "ukashindwa kuhutubia"....alikwambia? Eti "ukaondoka tu kimyakimya".....au wewe ndo haukuagwa? Eti "nitakushauri tena".....kwa hiyo umaarufu wa EL unatokana na ushauri wako Yericko tena kupitia JF?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.