Barua kwako Mzee Joseph Sinde Warioba

Barua kwako Mzee Joseph Sinde Warioba

kama una akili, mleta uzi ungemshauri warioba akatulie nyumbani kwake asubiri siku ya kupiga kura apige kura ya HAPANA. warioba kuendelea kuikosoa katiba pendekezwa, kimaadili ukizingatia yeye ni jaji, anakosea.

mnajua kwa nini hakimu au jaji huwa anajitoa kusimamia kesi iwapo mtoto wake au mjukuu au mkwe yumo ktk kesi ile?

tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sitaki kuhamini kama uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo. Kwani Mzee Warioba na raia wa nchi gani? Na ni nani anatakiwa kuelimisha watanzania? Tafakari chukua hatua
 
kama una akili, mleta uzi ungemshauri warioba akatulie nyumbani kwake asubiri siku ya kupiga kura apige kura ya HAPANA. warioba kuendelea kuikosoa katiba pendekezwa, kimaadili ukizingatia yeye ni jaji, anakosea.

mnajua kwa nini hakimu au jaji huwa anajitoa kusimamia kesi iwapo mtoto wake au mjukuu au mkwe yumo ktk kesi ile?

tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu,

Mawazo kama haya ndiyo msingi wa umaskini wa Tanzania, kiini cha mikataba mibovu na laana zote. Utunzi wa katiba siyo kesi na kama kuna makosa lazima yarekebishwe baada ya kupata ufafanuzi wa kutosheleza.
Maisha na kizazi cha Watanzania kitaendelea kuwepo hata kama baada ya mimi na wewe kufa, hivyo hatuhitaji kuwaza kwa ufupi kama kuku au kukubali yaishe kama makondoo.
Utaifa ni zaidi ya ufuasi wa vyama vya siasa na makundi mengine.
Kama una akili ya kuwasaidia wananchi, unawasikiliza upande wa Warioba halafu unafafanua walichokisema kwamba siyo kweli na kwamba hakina faida kwa Tanzania kwa sasa bali chenye faida ni hiki!
Tunahitaji kila matanzania awe smart kichwani, aelewe nini kinachoendelea badala ya kufurahia umbumbumbu wa walio wengi kwa faida ya wachache!
Hila za kijima hazitafanya kazi katika zama hizi!
 
kama una akili, mleta uzi ungemshauri warioba akatulie nyumbani kwake asubiri siku ya kupiga kura apige kura ya HAPANA. warioba kuendelea kuikosoa katiba pendekezwa, kimaadili ukizingatia yeye ni jaji, anakosea.

mnajua kwa nini hakimu au jaji huwa anajitoa kusimamia kesi iwapo mtoto wake au mjukuu au mkwe yumo ktk kesi ile?

tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sikulaumu kwani na wewe unaweza ukawa umelogwa na chama fulani!

hao watu unao waunga mkono na ndio hao hao kesho watakugeuka. ngoja uchaguzi upite alafu tuone kama watakuwa na wewe.
 
Wasio na Akili ndio Wanaojitahidi kumnyamazisha Warioba aache kuongea ukweli kuwa Maoni ya Wananchi yameachwa na sasa tuna KATIBA INAYOPENDEKEZWA YENYE KUTOKANA NA KUSIMAMIA MATAKWA NA MASLAHI YA CCM PEKE YAO.
 
Mungu anawaanika hadharani kwa uovu wao mwenye akili timamu anajua yanayoendelea. Hili bomu ipo sku italipuka vibaya sana ndipo Mungu atakapowafungua macho na itakuwa too late.

Na wakati huo JK atakuwa keshasepa
 
mie nampa pole sana huyu mzee lakini pia namshauti arudi nyumbani kwake akae atulie bse kazi aliyotumwa na mh Rais keshaifanya na kuimaliza. sasa suala la imekubalika au haijakubalika halimuhusu
 
Akili zako hazina akili!
kama una akili, mleta uzi ungemshauri warioba akatulie nyumbani kwake asubiri siku ya kupiga kura apige kura ya HAPANA. warioba kuendelea kuikosoa katiba pendekezwa, kimaadili ukizingatia yeye ni jaji, anakosea.

mnajua kwa nini hakimu au jaji huwa anajitoa kusimamia kesi iwapo mtoto wake au mjukuu au mkwe yumo ktk kesi ile?

tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mie nampa pole sana huyu mzee lakini pia namshauti arudi nyumbani kwake akae atulie bse kazi aliyotumwa na mh Rais keshaifanya na kuimaliza. sasa suala la imekubalika au haijakubalika halimuhusu

Na wewe tunakushauri kamtunze basha wako maana kazi uliyotumwa na vibaraka wako hapa mitandaoni umeshaimaliza.
 
Attachments

  • 1415101989767.jpg
    1415101989767.jpg
    21.1 KB · Views: 76
Back
Top Bottom